Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Thank u, same to u
Thank you for thanking me.
Thank u, same to u
Hela sina swagger siwezi kosa huchomoki kwanza.Aah babu utaweza?!
Nitafanya hivyo best ladyMiss u more muwe mnaniita huku nachelewa sana kufika
Kazi isio na mapumziko sio kazi ni utumwa na mateso kaka mzuriChezea mshahara sio kazi.
Aah babu utaweza?!
Poa poa bruh. PamojaNipo ujenikupe deals sawa.
[emoji23][emoji23][emoji23] chember ndio kuzuri one against one hapa mtavuruga vocal na comment zenu.Mwambie ashushe mistari hapa hapa
[emoji23][emoji23]Muache akaushe maini[emoji38]
[emoji38]hujui eeeh utajua skuhyo utakuta kitu cha tuna, spinach ,nyanya,hoho,karoti, baked 5mnts mixer viungo na parachichi hapo unakula huku unajitukana[emoji38]Walahi sio nakuja nimejipanga kwa majina matammatam af nakuja kukuta ni shake ya spinach. Utanieleza hahaaaaa
Kazi isio na mapumziko sio kazi ni utumwa na mateso kaka mzuri
Afya muhimu pia au hujui
[emoji23][emoji23][emoji23] chember ndio kuzuri one against one hapa mtavuruga vocal na comment zenu.
Kiranja mkuu nimerudi, au nafasi ilishapata mrithi? Naomba muongozo 😂Itifaki izingatiwe,tuko kazini tena tunalinda,sehemu ambayo "One mistake one bao",naona watu wanataka kutongozana humu.
Mapema sasa unatakiwa ufike eneo.Poa poa bruh. Pamoja
Umeshanijibu ila ulikawia kidogo kureply
Bwana weeeh mm sishibi swaga njoo hata na ka nyama ½ kilo bwanaHela sina swagger siwezi kosa huchomoki kwanza.