JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Siku moja moja walinzi tuwe tunapumzika jaman
Kwanini labda?
IMG-20200106-WA0010.jpeg


Sent using OPPO Mobile Phone
 
Mara nyingi nasoma vitabu viwili kwa pamoja,kila kitabu muda wake.
Kwa mfano mchana nasoma vitabu vya professional au vya kujijenga, usiku kama hivi nasoma kama hivyo vya Mandela ambavyo akili haitumiki sana.
Vitabu vya aina hii niliishia kujibia literature O'level lakini nitajaribu kuvisoma tena [emoji4].

So, huwa unavisoma kwa leasure ama and vipi unawezaje kubalance na vitabu ambavyo ni skill based au vya profession yako.
 
Napenda imagination lakini ambazo zinaendana na reality.
Mfano,vitabu kama Alchemist na the richest man in the Babylon ni fiction lakini vinaendana kwa kiasi kikubwa na uhalisia wa maisha yetu.
Ila vitabu vingi vimekaa kama muvi za kihindi,uongo mwingi,hapo mimi ndipo nisipopapenda.
[emoji23][emoji23][emoji23] hupendi imagination ww?
 
Back
Top Bottom