Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Ndio kumekucha hivyo bahari.Mbona unatutisha mkuu
Ndio kumekucha hivyo bahari.Mbona unatutisha mkuu
Niko mukide, mishe ni vp huko?
mm love story ndio naishi navyo ukinipa.
Nipo ....
Aah hutaki ile mizuka zile feelings ukiwa unasoma?Aisee,sasa mimi ukinipa kitabu chenye love story,siku hiyo hiyo nakurudishia.
Karibu mjengoni kahawa unatumia ww au chai?
Ndo maana hunialiki kula mduduNje ya dar mkuu
Nakumbuka nimemaliza O level kuna rafiki wa kaka yangu alinipa Biography ya che Guevara kaniambia nenda kasome chote alafu njoo unihadithie ni nn kimeandikwa humo wallah kitabu nilifunua kuangalia pic ilinimjue che vzr siku soma hata mpaka leo kile kitabu kina thamani ya dola 100 ndio bei ilionunuliwa.Aisee,sasa mimi ukinipa kitabu chenye love story,siku hiyo hiyo nakurudishia.
Vitabu vya aina hii niliishia kujibia literature O'level lakini nitajaribu kuvisoma tena [emoji4].Kila mtu ana aina yake ya vitabu anavyovipenda ,mimi napenda vitu ambavyo vinaeleza kuhusu social psychology, science na history ya vitu mbalimbali.
Inshort napenda facts.
Sasa hivi nasoma kitabu cha Nelson Mandela kinaeleza historia yake kitamu sana, ijapokuwa ni kirefu lakini kila page ni nzuriView attachment 1314400
Dar nikajua unakaa humu.Nje ya dar mkuu
Huangalii telenovela na soap opera za kiphillipino [emoji38][emoji38]mm love story ndio naishi navyo ukinipa.
Aah hutaki ile mizuka zile feelings ukiwa unasoma?