JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mimi pia hata kwenye kusoma vitabu fiction siwezi kabisa.
Mimi napenda movie za zamani lakini ziwe real. Kuna moja inaitwa Roman empire the reign of blood (sikumbuki jina fresh). Ilikuwa ni series lakini bado ipo katika mfumo wa documentary, haikuniboa ila ukishaingiza fictions nyingi. Mimi huwa siwezi
 
Mimi pia hata kwenye kusoma vitabu fiction siwezi kabisa.
Bora hata umenipa moyo maana wengi ukiwaambia wanaanza kuweka doubts [emoji4][emoji4].
Vitabu sio mpenzi sana yaani hata nikijitahidi huwa simalizi yani kidogo nilivyojitahidi ni think big, who will cry when you die na capitalist niger [emoji23][emoji23]. Poor me
 
Kila mtu ana aina yake ya vitabu anavyovipenda ,mimi napenda vitu ambavyo vinaeleza kuhusu social psychology, science na history ya vitu mbalimbali.
Inshort napenda facts.
Sasa hivi nasoma kitabu cha Nelson Mandela kinaeleza historia yake kitamu sana, ijapokuwa ni kirefu lakini kila page ni nzuri
Bora hata umenipa moyo maana wengi ukiwaambia wanaanza kuweka doubts [emoji4][emoji4].
Vitabu sio mpenzi sana yaani hata nikijitahidi huwa simalizi yani kidogo nilivyojitahidi ni think big, who will cry when you die na capitalist niger [emoji23][emoji23]. Poor me
Screenshot_20200107-000313_Media365%20Reader.jpeg
 
Kila mtu ana aina yake ya vitabu anavyovipenda ,mimi napenda vitu ambavyo vinaeleza kuhusu social psychology na history ya vitu mbalimbali.
Inshort napenda facts.
Sasa hivi nasoma kitabu cha Nelson Mandela kinaeleza historia yake kitamu sana, ijapokuwa ni kirefu lakini kila page ni nzuriView attachment 1314400
mm love story ndio naishi navyo ukinipa.
 
Back
Top Bottom