Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,841
Unanitisha ss kamandaKufa hufi ila chamoto utakiona.
Kheri ya mwaka mpya!!
Mwaka nmeupokea na kwako pia
Japo nimeingia bila chance nilifeli
Unanitisha ss kamandaKufa hufi ila chamoto utakiona.
Kheri ya mwaka mpya!!
Ww unaumia na mapenzi ya kwenye tv[emoji38][emoji38]Mwana alimpenda alafu anakufa kigaidi vile ilikuwa inaumiza [emoji22]
Hahaha woooi angalia hata comedy
[emoji38] korea bwana juzi meshusha inaitwa jang young-sil nmeimaliza siku moja episode 24 nikaona nishashindikana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nina series ya kikolea acha niishinayo sikumbuki hata ilikujaje humu kwenye maktaba yangu.
Story inauzunisha alafu sikutegemea mapenzi yao wangeishia vile maana nilitaka nije nione wangepataje mtt maana hiki kichwa changu nakijua ni zaidi ya bangi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ww unaumia na mapenzi ya kwenye tv[emoji38][emoji38]
Hapo sijaangalia hata moja.. Ila hii dracula tayali ep zake zote tatu nmetoka,angalia tu vizuri kwenye machimbo yako, utaionaMm nna swamp thing, wu asassuns nasubir season2
Nna see nasubir season2,
The witcher na hii dracula maana bdo episode 1 sio mbaya
Sio bangi ni nani bwana [emoji38]Story inauzunisha alafu sikutegemea mapenzi yao wangeishia vile maana nilitaka nije nione wangepataje not maana hiki kichwa changu nakijua ni zaidi ya bangi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsante.Unanitisha ss kamanda
Mwaka nmeupokea na kwako pia
Japo nimeingia bila chance nilifeli
Ndio mm hapa naona asubuhi itafika mapema mno na kirahisi wakati kwesho na mualiko wa party [emoji39][emoji39][emoji39][emoji38] korea bwana juzi meshusha inaitwa jang young-sil nmeimaliza siku moja episode 24 nikaona nishashindikana
Ilikua ni jana tarehe4watoe episode3 ili ziwe 4 ss wametoaje 2 tena hao naoHapo sijaangalia hata moja.. Ila hii dracula tayali ep zake zote tatu nmetoka,angalia tu vizuri kwenye machimbo yako, utaiona
Aisee ep 24? na wale wakorea ili kwenda nao sawa lazima usome subtitle uliwezaje[emoji38] korea bwana juzi meshusha inaitwa jang young-sil nmeimaliza siku moja episode 24 nikaona nishashindikana
Sio bangu ni bangi bwana 😀😀😉Sio bangu ni nani bwana [emoji38]
Ni nn? embu sema huo upuuzi nikupe ban [emoji4]Sio bangu ni nani bwana [emoji38]
Hua naangalia online mpaka season ikikamailika ndo nashusha comlpete ile mojamoja mm naonaga tabuHapo sijaangalia hata moja.. Ila hii dracula tayali ep zake zote tatu nmetoka,angalia tu vizuri kwenye machimbo yako, utaiona
jr kalala mzee mwenzake?Sio bangu ni bangi bwana [emoji3][emoji3][emoji6]
[emoji38]ameshasahau huyu basi tena dah nakufa kishujaa mm leoAhsante.
Kuingiaje bila chance?
Ok, dracula ipo complete tayaliHua naangalia online mpaka season ikikamailika ndo nashusha comlete ile mojamoja mm naonaga tabu
I do I do 😉😁😁[emoji38]ameshasahau huyu basi tena dah nakufa kishujaa mm leo
Ban siitaki naishia hvyo tuNi nn? embu sema huo upuuzi nikupe ban [emoji4]
Mm kipofu jaman mnisamehe[emoji38][emoji38][emoji38]Sio bangu ni bangi bwana [emoji3][emoji3][emoji6]