JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hahahahaha mm nazionaga tu nakita wanakula wamesmama na juice zao fresh
Mwangu alikula mahindi ya buguruni sheli pale sasa siku hiyo nimetokea kkoo namsubiria anichukue na gari stand ya chanika nikaona ninunue muhindi pale nikawa nakula ghafla akaja kunichukua nikamwambia chukua muhindi akaniambia hayo mahindi ya buguruni sili mm aliaharisha hatari aliniambia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom