JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mwangu alikula mahindi ya buguruni sheli pale sasa siku hiyo nimetokea kkoo namsubiria anichukue na gari stand ya chanika nikaona ninunue muhindi pale nikawa nakula ghafla akaja kunichukua nikamwambia chukua muhindi akaniambia hayo mahindi ya buguruni sili mm aliaharisha hatari aliniambia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23]mkomee ila mm hata nikute pweza chanika mm nakaa tegeta nitakula nikiharisha basi
 
Hahaha buguruni sio nilikula chakula kwa mama lishe pale , rafiki aliinsit nile kiubishi ila sikuwa comfortable mazingira hayakuwa poa.
Mwangu alikula mahindi ya buguruni sheli pale sasa siku hiyo nimetokea kkoo namsubiria anichukue na gari stand ya chanika nikaona ninunue muhindi pale nikawa nakula ghafla akaja kunichukua nikamwambia chukua muhindi akaniambia hayo mahindi ya buguruni sili mm aliaharisha hatari aliniambia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha buguruni sio nilikula chakula kwa mama lishe pale , rafiki aliinsit nile kiubishi ila sikuwa comfortable mazingira hayakuwa poa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm kwa mamanitilie pekeangu sili .

Ila nishakuna kama mara3 kwa shinikizo la watu[emoji23] kuna ile kuchambwa na mdada eti unaringa halafu mtu upo offcn kwake hnaona tu ngoja nile
 
Back
Top Bottom