JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji28][emoji28] tulikuwa tumeenda sokonii hapo bugurun nikapewa sijui embe nikala na ilikuwa msimu wa kipindukipundi akaniambia unakula huku utaumwa ,nilibaki tu nashangaa .[emoji23][emoji23]
Buguruni ukiwa muoga huwezi kula kabisa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] yataka moyo kula pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji28][emoji28] tulikuwa tumeenda sokonii hapo bugurun nikapewa sijui embe nikala na ilikuwa msimu wa kipindukipundi akaniambia unakula huku utaumwa ,nilibaki tu nashangaa .[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] raha ya buguruni kuna vitu vingi sana vyakula lakini kula ndio uwemakini.
 
Back
Top Bottom