Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,545
- 81,366
Unajisahau unahisi wote mpo zone moja kisa tu wakati huo wote mpo activeHahaa sasa kabla huyo mtu haja post comment yake si inampasa kuweza kujua majira ya watu anao chat nao kwanza mkuu ...
Sent using Jamii Forums mobile app