Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,838
pamoja na mbwembwe zote hizi alizokuja nazo kumbe anaenda kuchojoa anarudi kulala
Kweli mkuu seli za mwili zinasagika kwa kukesha bila faida.😀😀😀 lala mkuu
nani anakusumbua tumchape?Jamani mbona tunasumbuana hivi? Aaah[emoji53][emoji53][emoji53]
Siwezi kukurupuka kuja kukusindikiza tu. Kuna kubondwa ohoo! Mjini kuna vya watu ati !!!Sina vikopo, njoo unisindikize wewe maana Mwombeki anachelewa kuja
salama salmini, baby shem nimesikia hivi karibuni umekuwa kivuruge? (nafungua jarada la kesi yako kama ulivyofugua kipindi kile)Sijambo, uko poa?
namsubiri
Ni kweli wamekuamsha au umemaliza kutimiza majukumu mengine ya usiku sasa unajipumzisha urudi tena kulala?
Limwage tu. Kesho wakati wa kutoa godoro singizia siyo kojo la kawaida...singizia lile jingineeee [emoji2221][emoji2221][emoji2221]Naona uvivu kutoka nje sijui nilimwage hapa hapa kitandani?[emoji848]
hahahaha ha ha,lakini kukesha hivi tunaingiza kiasi gani?Ni dhambi kutesa hekalu la mungu.....ngoja nikalale
Leo nalipiza utoro wa wiki nzima
Tunasikiliza ndoto zaonani anakusumbua tumchape?
Na Hon. Mr. Miller karudi. Leo naona ni mpaka asubuhi. Sema tu huu mkweche wa Tecno unataka kumaliza chaji dah !nani anakusumbua tumchape?
tumtafute mapema nimeandaa vibokonani anakusumbua tumchape?
Si ajabu hapo umeamka kupanga chaga upya halafu unasingizia eti umeamshwa [emoji16][emoji16][emoji16]Wameniamsha, tena nilikuwa naota unanichekesha aaah washaniharibia ndoto
Nimemvuruga nani tena?[emoji848]salama salmini, baby shem nimesikia hivi karibuni umekuwa kivuruge? (nafungua jarada la kesi yako kama ulivyofugua kipindi kile)
hahaha mkuu chaga zilivunjika anazipanga upyaSi ajabu hapo umeamka kupanga chaga upya halafu unasingizia eti umeamshwa [emoji16][emoji16][emoji16]
Kichwa Kichafu na hun wakonani anakusumbua tumchape?