Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,840
Unda tu timu mpya. Wachezaji wapya tupo [emoji2221][emoji2221][emoji2221]Kiukweli naimiss sana ile timu ya kipindi kile. Sijui wamepotelea wapi?[emoji848]
Unda tu timu mpya. Wachezaji wapya tupo [emoji2221][emoji2221][emoji2221]Kiukweli naimiss sana ile timu ya kipindi kile. Sijui wamepotelea wapi?[emoji848]
[emoji849][emoji849][emoji849] Eeeh!?Sarakasi nyingi mkuu
Huwa wanakataza maeneo hayo kupiga picha au kuwarekodi,umewezaje mkuu?Hapana. Dogo mmoja hivi amekurupuka tu. Sijui hajipendi. Jimama lote hili na mifupa yake hiyo mhhh. Tupo tunaangalia hapa
Show za kibabe [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Kumbe nini?[emoji848]
jirani yangu yupo busy maana hata fungua za nyumbani kwake aliniachia, wengine sijui wapo wapiKiukweli naimiss sana ile timu ya kipindi kile. Sijui wamepotelea wapi?[emoji848]
Hapana. Dogo mmoja hivi amekurupuka tu. Sijui hajipendi. Jimama lote hili na mifupa yake hiyo mhhh. Tupo tunaangalia hapa
Ni kweli mkuuMkuu, matatizo yako ni fursa kwa mwingine (and vice versa). Hata kifo chako kwa muuza jeneza ni neema [emoji16][emoji16][emoji16]
Nina Google glasses mkuu. Nilizipata kabla hiyi project haijawa cancelled...Zinarekodi vizuri tu...Na dogo naona kadhamiria kweli kweli. Yetu macho [emoji16][emoji16][emoji16]Huwa wanakataza maeneo hayo kupiga picha au kuwarekodi,umewezaje mkuu?
Mi mtazamaji tu. Hata kilevi situmii [emoji16][emoji16][emoji16]Kwahiyo wewe unakula kwa macho tu?
Unda tu timu mpya. Wachezaji wapya tupo [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
ha ha ha[emoji849][emoji849][emoji849] Eeeh!?
Leo nimemuona somewhere tukasabihianajirani yangu yupo busy maana hata fungua za nyumbani kwake aliniachia, wengine sijui wapo wapi
Nina Google glasses mkuu. Nilizipata kabla hiyi project haijawa cancelled...Zinarekodi vizuri tu...Na dogo naona kadhamiria kweli kweli. Yetu macho [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 880856
Mkianza kuwarushia ela wataanza kufanya kweliNina Google glasses mkuu. Nilizipata kabla hiyi project haijawa cancelled...Zinarekodi vizuri tu...Na dogo naona kadhamiria kweli kweli. Yetu macho [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 880856
Mi mtazamaji tu. Hata kilevi situmii [emoji16][emoji16][emoji16]
Maisha ni lazima yaendelee. Timu mpya lazima ziundwe. Na soka lazima liendelee...Ndiyo maisha !!!Kila zama zina mambo yake, leo hii hata tufanyeje hatuwezi kuzibadilisha tima za simba na yanga kuwa sawa na timu za bush stars na born town
Ohooo unafikiri natania?Hivi kumbe ni live kweli?[emoji848]
Ndani ya vazi yuko poa,akitoa vazi unaweza kugairi
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkianza kuwarushia ela wataanza kufanya kweli