Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,232
- 62,296
ha ha haaNa Hon. Mr. Miller karudi. Leo naona ni mpaka asubuhi. Sema tu huu mkweche wa Tecno unataka kumaliza chaji dah !
ha ha haaNa Hon. Mr. Miller karudi. Leo naona ni mpaka asubuhi. Sema tu huu mkweche wa Tecno unataka kumaliza chaji dah !
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Safi sana, na wote waige hii tabia yako njema kabisa
Siwezi kukurupuka kuja kukusindikiza tu. Kuna kubondwa ohoo! Mjini kuna vya watu ati !!!
Ha ha ha hakuna ladha hapo,ni matatizo tuKumekucha huku night club niliko [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 880854
Sema taratibu basi wasisikie wengine, mbona twaumbuana bwana[emoji23]Si ajabu hapo umeamka kupanga chaga upya halafu unasingizia eti umeamshwa [emoji16][emoji16][emoji16]
tena sasa wakupendao wameongezeka kila uchwao sema wanakosa gear za kuingilia tu hahahaha jirani yangu Neybright kwenye list yangu ni moja kati uliyoanza ukivurugeNimemvuruga nani tena?[emoji848]
Yaani nisivuruge kipindi kile nilipokuwa nimezungukwa na wanipendao nije nivuruge leo hii?
Sitaki ngeu...Panaingilika?Woga wako ndo umaskini wako
Mwili wangu huu ni wa kuvunja chaga?hahaha mkuu chaga zilivunjika anazipanga upya
Oooh! Samahani [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Sema taratibu basi wasisikie wengine, mbona twaumbuana bwana[emoji23]
Mbagala sitakaa nihame [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 880855
Kinachovunja chaga siyo mwili wako !!!Mwili wangu huu ni wa kuvunja chaga?
Sarakasi nyingi mkuuMwili wangu huu ni wa kuvunja chaga?
huwa anauza bundle la usingizi kwa wapenda kulalaAsante, hivi wewe hulalagi kabisa? Au huko uliko ndo kushakucha tayari?
Hapana. Dogo mmoja hivi amekurupuka tu. Sijui hajipendi. Jimama lote hili na mifupa yake hiyo mhhh. Tupo tunaangalia hapaNdo wewe hapo uliyekamatia buno?[emoji3][emoji3]
hahahaKweli mkuu seli za mwili zinasagika kwa kukesha bila faida.
Kinachovunja chaga siyo mwili wako !!!
Mkuu, matatizo yako ni fursa kwa mwingine (and vice versa). Hata kifo chako kwa muuza jeneza ni neema [emoji16][emoji16][emoji16]Ha ha ha hakuna ladha hapo,ni matatizo tu