Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,450
- 25,162
HulaliiiiCheko lako linaashiria kuwa kuna kitu unakifahamu katika hili
HulaliiiiCheko lako linaashiria kuwa kuna kitu unakifahamu katika hili
Nilishawai kunywa chupa 48 za bia nashika number ngapi?
Neybright jirani yangu kipenzi😂😂😂😂 umenikumbusha wewe ndo ulikuwa kinara wa kumpiga chabo jirani yako Ney
Ya mamilioniNilishawai kunywa chupa 48 za bia nashika number ngapi?
Bia gani hiyo mkuu ?Nilishawai kunywa chupa 48 za bia nashika number ngapi?
nkiadimika jua kaka yako amenibananisha, nkipata kachansi naja kuwasalimia kama hivi.Umeadimika sana kama............!