Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,464
- 95,976
HahahaEbu kwanza huko ndani kuna usalama kweli? Maana nisijemwagiwa tindikali bure
HahahaEbu kwanza huko ndani kuna usalama kweli? Maana nisijemwagiwa tindikali bure
Sina namna wewe kwanini ilijifungia halafu ukapoteza ufunguo?Hahaha, sio vzr kwa hili
[emoji7] nitakua nikifika tu naanza kukupa Hi wewe mama watotoNilikumiss zaidi, ndio maana ulipofika ukamslimia mtu chake na kuniacha nimeona wivu kwa mbali
Cheko lako linaashiria kuwa kuna kitu unakifahamu katika hiliHahaha
Nadhani ilipotea ktk ugimbi, ndio maana nakua mlinzi mwandamizi kilazima ,HahahaSina namna wewe kwanini ilijifungia halafu ukapoteza ufunguo?
Katika nn? Sifahamu chochote ,nafurahi tuCheko lako linaashiria kuwa kuna kitu unakifahamu katika hili
Kho! Kho! Kho! Naomba maji ninywe nimepaliwa[emoji7] nitakua nikifika tu naanza kukupa Hi wewe mama watoto
But since umeongelea wivu.mi ninapata wivu unavokua unachat with other guys unajibebisha nikiwa sipo
Subiri nikunyweshe LOVEKho! Kho! Kho! Naomba maji ninywe nimepaliwa
Usalama ni overratedEbu kwanza huko ndani kuna usalama kweli? Maana nisijemwagiwa tindikali bure
Jambo jemaJamani ngoja nikawaandalie gahawa mnywe ili msisinzie eeeh!
Niletee maji ya kunywa tuJamani ngoja nikawaandalie gahawa mnywe ili msisinzie eeeh!
01:4100:35
Naona sasa ,mmetepeta
Wasalimie hukoNaenda mtaa wa Pili kdg