Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,429
- 95,935
Mie mdg ila sio kijanaDaah,ila poa sababu ujana mwisho miaka 45. Poa nimekubali. Ila kinyume na hapo pangechimbika kaka mkubwa.
Mie mdg ila sio kijanaDaah,ila poa sababu ujana mwisho miaka 45. Poa nimekubali. Ila kinyume na hapo pangechimbika kaka mkubwa.
Mimi mdogo ila ni kijana.Mie mdg ila sio kijana
Huwezi jua labda wameona unafaa kuwa Mwalimu waoNaona wanataka niwafundishe ya wakubwa. ....hawajui tuko Lindoni
Tufundishe mimi mkubwa mwenzioNaona wanataka niwafundishe ya wakubwa. ....hawajui tuko Lindoni
CowardiceHiyo ni disrespect, mi huwa napenda mtu aniache tu ila asinisaliti, akinisaliti wakati tupo pamoja ni km unakaa na nyoka chumba kimoja
AhsanteAiseee itakufikia kweli maana naileta na Meli
Ujana mwisho miaka 39Daah,ila poa sababu ujana mwisho miaka 45. Poa nimekubali. Ila kinyume na hapo pangechimbika kaka mkubwa.
Hahahaaa halafu nasikia mwanamke kuachwa na mwanaume asikuwa na hela nafuu yake ni kama alilazwa hospital akapona na kutika [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Eeeh mkuu lazima ushushe pumzi [emoji23][emoji23][emoji23]
Naacha kabla kupata. ..Wewe unaona bora nini kuacha kabla ya kupata au kupata ndiyo uache?
[emoji16]mkuu usiombe upende sana, wivu hauepukikiHahahaa mkuu utakufa mapema kama hutaacha wivu katika sumu Kali duniani ni wivu inakuua taratibu sana bila kujua
#3 hapo ndio kwanguUjana mwisho miaka 39
Iko hivi
1. Utoto ni 0-17
2.ujana ni 18-39
3.utu uzima ni 40-59
4.uzee ni 60 +
Huu utakuwa mjadala mwingine ambao hapa si mahala pake.Ujana mwisho miaka 39
Iko hivi
1. Utoto ni 0-17
2.ujana ni 18-39
3.utu uzima ni 40-59
4.uzee ni 60 +
True, cowardice...ni rahisi kusema naondoka sio nifumanie huko au nione anapeleka feelings kwa mtu mwingine wakati niko naye, kitu rahisi tusichoshane tunaachana freeesh kiroho safi maana hatujaja duniani tukipokezana moyo na ubongoCowardice
haya kuna lugha mbili hapo... ipi hujaielewaHiki kilugha sijakuelewa. ...fanya unieleweshe
Kubakia macho kawaida sana. ....kwani hizo round ni usiku na kitandani tu...vile useme utasinzia?Ndio mkuu, kwan we huwez kukaa macho baada ya kupiga raund kadhaa za jinsia, swali limekuwa pana zaidi [emoji3][emoji3]
Na mm muda huu naingia chakaHuu utakuwa mjadala mwingine ambao hapa si mahala pake.
Namsubiri bi-bade anifubdishe mambo ya kikubwa.
Ndio mkuu hiyo hiyoKwa nini ya ucelibate au ya nini?
Hapo kwenye 2 ndio nimekita hapo !#3 hapo ndio kwangu