Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,477
- 96,009
Nawe wakumbushe maana naona wote....Wakumbushe mkuu
Nawe wakumbushe maana naona wote....Wakumbushe mkuu
Sex ndio nini? Maana tumekatazwa lugha nyingine isipokuwa kiswahiliUnaweza kuwa macho kweli baada ya kupiga/kupigwa round kadhaa za sex?!!
EehhhSasa.....!
Sex ni jinsia ME au KESex ndio nini? Maana tumekatazwa lugha nyingine isipokuwa kiswahili
Siku nikioa afu mke achepuke ntamuuaKwa hiyo mtu unaruhusiwa kuchepuka km mapenzi yanaanza kutetereka,
Mi nazijua kesi flan flan wake wa ndoa wanachepuka
Kuna wale wanaopenda kuachwa na sio kuacha. .....Kwa nini usivunje mahusiano kabla hujatafuta mahusiano mapya ikiwa umeshaona kuna mapungufu usiyoweza kuvumilia?
Haswaaaa !
Umeongea kweli tupu
Jibu zuriNdio mkuu unakuwa macho fresh tuu, labda km ukiamua kulala
Nyerere day [emoji23] [emoji23]Nikumbushe sikukuu inayofuata nikununulie Kamusi
Mi atakayenichapia lazima nimfanye mkewanguSiku nikioa afu mke achepuke ntamuua
Hapa tu nina stress za kuchapiwa .japo zina miaka 3 hivi toka nijue ila kila mala nakumbuka hata nikiwa bafuni
Napenda kufuata sheriaNaona unajitoa sio ?
Daaah ?!Eehhh
Vizuri...!Napenda kufuata sheria
We si upo na vijana mnaongea au?Uchelewe chelewe basi
it all comes down to how seriously huyo mtu ana-take commitment yake kwa mwenza wake. Kama yuko seriously commited, hata itokee nini hata chepuka, trust me. Kama yuko half committed aka mguu ndani mguu nje, kuna 50/50 chance ya yeye kuchepuka ila itategemea na mazingira. Ila kama yupo nae tu, hana commitment yoyote kwake, atachepuka for even the simplest things.Mada; kwa nini watu wapenzi walioko kwenye mahusiano wanachepuka? Ni nini kina mfanya mpenzi achepuke au atafute mpenzi wa pembeni?
Nasikia Eti ukiachana na demu mpenda hela mwanaume anapata nafuu sawa na mtu aliemaliza mkopo benki!!! HahahaaYah then why not sit and talk, maana nyie women likes to talk, km ulimpendea mwenzio kwa pesa afu ikaisha labda ila km ni swala la kiutendaji si mnazungumza tu kuliko kukipeleka nje
Hiyo ni disrespect, mi huwa napenda mtu aniache tu ila asinisaliti, akinisaliti wakati tupo pamoja ni km unakaa na nyoka chumba kimojaKuna wale wanaopenda kuachwa na sio kuacha. .....
Ndio wakuta wanaenda kutafuta sababu za kuachwa kwa namna hiyo
Daah,ila poa sababu ujana mwisho miaka 45. Poa nimekubali. Ila kinyume na hapo pangechimbika kaka mkubwa.We si upo na vijana mnaongea au?
[emoji23] umeona eh mkuuMi atakayenichapia lazima nimfanye mkewangu