Asante sana.Karibu
Asante sana.Karibu
Limeniponyoka,naomba uniletee jojo .Bora ungeomba...hiyo leta utasubiri sana
Sikujua udhaifu wako. ..sasa najua.Kwani kuna jipya hapo ?
Acha nikimalizana na Don nitakujaLimeniponyoka,naomba uniletee jojo .
Udhaifu wangu nini ? Mimi huwa nabadilika badilika zaidi ya kinyonga.Sikujua udhaifu wako. ..sasa najua.
Hufai basi....Udhaifu wangu nini ? Mimi huwa nabadilika badilika zaidi ya kinyonga.
pole, naimani watu tuliowengi tunapenda vitu vizuri sana.Chura haijanipagawisha. Rangi ndio imeniteteresha nikayumba aisee,laiti huyo angekuwa wewe....Daaaah,huwa napenda vitu vizuri sana sijui ingekuwaje.
Nafaa sana si unajua si kila kilicho pinda kina dosari ? Vingine kupinda kwake ndio ukamilifu wake.Hufai basi....
Ndio nyimbo zinaniweka macho Lindoni
Natamani niseme asante lakini najikaza....!pole, naimani watu tuliowengi tunapenda vitu vizuri sana.
Un peu.How do you stay awake to these, hizi si unasinzia kabisa unajiona...
by the way, parles-tu français?
Haya nakubali kwa shingo upandeNafaa sana si unajua si kila kilicho pinda kina dosari ? Vingine kupinda kwake ndio ukamilifu wake.
Unaniangusha sasa !Haya nakubali kwa shingo upande
Punguza ukinyonga tuelewaneUnaniangusha sasa !
Poa nimepunguza,yaani nimeacha kabisa. Tuelewane.Punguza ukinyonga tuelewane