JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Chura fahari ya macho tu kwetu sisi tuna wajua wanawake vilivyo. Ila katika kuholomboka chura haina ziada... Hi kwetu sisi waungwana.
zurri bana mara hii muonekano wa chura hauna maana wakati ndo ulipagawa nao
Hizi siku chache nime underperforming, nadhani ni kwa sababu sijachukua likizo muda mrefu.

mtu chake anatoa likizo kwa jinsia moja tu
Kiukweli wewe mjamaa nimekumiss ujue.
amu ndio huyo kajaa tele...msomee barua yake
Kumbe imetoka kwa zurri barua
 
zurri bana mara hii muonekano wa chura hauna maana wakati ndo ulipagawa nao

Kiukweli wewe mjamaa nimekumiss ujue.

Kumbe imetoka kwa zurri barua
Chura haijanipagawisha. Rangi ndio imeniteteresha nikayumba aisee,laiti huyo angekuwa wewe....Daaaah,huwa napenda vitu vizuri sana sijui ingekuwaje.
 
Back
Top Bottom