amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,298
sasa mimi ni kafupi kweli kweli, black more wa haja na bonge la flat yaani not attractive at allAlaa maana hilo toto ni pini balaa duniani. Limeenda hewani kweli kweli.
sasa mimi ni kafupi kweli kweli, black more wa haja na bonge la flat yaani not attractive at allAlaa maana hilo toto ni pini balaa duniani. Limeenda hewani kweli kweli.
Huniambii kitu kwa wanawake weusi labda kwa ufupi,ila unaweza kuwa mfrefu kwa wafupi zaidi yako.sasa mimi ni kafupi kweli kweli, black more wa haja.
Hahahahaha unanizingua wewe !sasa mimi ni kafupi kweli kweli, black more wa haja na bonge la flat yaani not attractive at all
Na wewe jamani.....NaUnGa mKoNo hOjA.....
Nije wapi tena bibie ?Naisomaje hapa sasa? Zurri njoo huku
Ndio kaugonjwa kanguKuna huyu bbade yeye kazi yake kulike tu...!
Huwa kananiharibia timing zangu.Ndio kaugonjwa kangu
Chura jamani, chura sasaHuniambii kitu kwa wanawake weusi labda kwa ufupi,ila unaweza kuwa mfrefu kwa wafupi zaidi yako.
Barua gani tena ? Hata kama ningekuwa nina barua ningekupa unisomee wewe !@amu ndio huyo kajaa tele...msomee barua yake
Ucha niwaaachie sebule...naenda dukaniHuwa kananiharibia timing zangu.
Don Clericuzio wananchi tutakushusha cheo
Chura fahari ya macho tu kwetu sisi tuna wajua wanawake vilivyo. Ila katika kuholomboka chura haina ziada... Hi kwetu sisi waungwana.Chura jamani, chura sasa
Uniletee jojo bibie ?!Ucha niwaaachie sebule...naenda dukani
Ucha niwaaachie sebule...naenda dukani
Kweli lakini. ...Waambie kabisa wasikusubiri, haturudi tena huku.