amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,298
Don Clericuzio wananchi tutakushusha cheo
Nani huyoNaye mtafuta hajaja bado ?
Wewe ni mkenya ?embu sema unamtafuta nani Zurri akija npige nduru
Ameshakuja. Halafu kausha.Nani huyo
Wewe ni mkenya ?
jina gani, sema umtafutae akija nakushuaDaah,bado kidogo nikuite jina nilipendalo sema nikasita.
Nakitafuta wewe mbona unajikausha. Unajidai kupotezea ?Hapana ila ni ujirani mwema tu
jina gani, sema umtafutae akija nakushua
Hivi kwenye hiyo avatar yako hakuna kitu chochote kinacho akisi wewe ulivyo ?Hapana ila ni ujirani mwema tu
jina gani, sema umtafutae akija nakushua
hoja gani ushi?NaUnGa mKoNo hOjA.....
una maanisha?humu naingiaga... nakuta wote.. meshajifunika mashuka.. leo kulikoni.. mbn mpo macho
hoja gani ushi?NaUnGa mKoNo hOjA.....
Unanikimbia kimbia sana...!hoja gani ushi? una maanisha?
hoja gani ushi?
Hii ya usiku mzito....hoja gani ushi? una maanisha?
hoja gani ushi?
Hapana Zurri , ninampenda huyo mama sababu ndoto yangu ni kuzaa watoto wengi and yet to maintain my figure, siyo nakuwa disfigured and rough.Hivi kwenye hiyo avatar yako hakuna kitu chochote kinacho akisi wewe ulivyo ?
Tafadhali swali hili ni muhimu sana kwangu,endapo ukilijibu.
Hapana yaani unavyomuona huyo ni kinyume na mimi kabisa.Alaa,nikajua kuna mambo mafanana labda ya kiumbile...!
Alaa maana hilo toto ni pini balaa duniani. Limeenda hewani kweli kweli.Hapana yaani unavyomuona huyo ni kinyume na mimi kabisa.