Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,568
- 96,183
Kwanza ujazo wake tu balaa,chupa mbili tu unakaa sawaInaonekana haiongopi
Kwanza ujazo wake tu balaa,chupa mbili tu unakaa sawaInaonekana haiongopi
Unda tume,Lindo kwa lindo,Nimepokea taarifa,baadhi ya walinzi wanajisapia na vimada vyao wakati wa lindo, na kusababisha kuacha lindo wazi
Uongozi unasikititika sana kwa hali Iliyojitokeza hivi karibuni kwa baadhi ya watu kutozingatia maadili ya kazi yetu
DadaHapa kweli nadaiwa, maana hata salamu sijapata njoo pm tumalizane.
Utoto raha sana.Nothing to fearView attachment 868455Marafiki wa ukweli.
AbreeeeeeeeDemiss
Wanasali pindi wanapo vamiwa na maji ya mbaazii PINDI WAKIWA LINDONI,,,Naumwa wanajamvi mniombee kama huwa mnasali
Wanasali pindi wanapo vamiwa na maji ya mbaazii PINDI WAKIWA LINDONI,,,
Mimi nitakuombea upone alaka ...
Wanasali pindi wanapo vamiwa na maji ya mbaazii PINDI WAKIWA LINDONI,,,
Mimi nitakuombea upone alaka ...
MarahabaShikamooni makaka na madada
Dada