amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,298
Don wamekuibia ufunguo na kawindhoek kabaridi? raia si wema jamani, muda mwingi sana sijakuona humu.Jamani mambo ya kuibiana funguo za magari sio mazuri. Haya funguo muibe, hata ka windhoek? ?
Don wamekuibia ufunguo na kawindhoek kabaridi? raia si wema jamani, muda mwingi sana sijakuona humu.Jamani mambo ya kuibiana funguo za magari sio mazuri. Haya funguo muibe, hata ka windhoek? ?
Nimeupata kumbe ulikua mfukoni..Don wamekuibia ufunguo na kawindhoek kabaridi? raia si wema jamani, muda mwingi sana sijakuona humu.
Dada nakudaii ujueDon wamekuibia ufunguo na kawindhoek kabaridi? raia si wema jamani, muda mwingi sana sijakuona humu.
vp na kawindhoek umekapata?Nimeupata kumbe ulikua mfukoni..View attachment 867652
Hapa kweli nadaiwa, maana hata salamu sijapata njoo pm tumalizane.Dada nakudaii ujue
Kwema?Mtanii
Ulinzi na dawa ya mbu ,mdg mdg ...View attachment 867671View attachment 867672
Hahaha ,uzuri nazila sana kucha zangu,niko ktk patrol Leo nazungukia ma lindo yoteNimeona kucha tu
Demiss hii picha sio mara ya kwanza kuiona au ni ratiba ako kila siku ioNimehamia seblen sitak tena kulalaView attachment 867640
Hahaha ,uzuri nazila sana kucha zangu,niko ktk patrol Leo nazungukia ma lindo yote
HahahaNdio maana nikaziona.....Penda sana wala Kucha!
Walinzi mpo?
Nipo mtu wangu,habari za siku? Naona unanitenga sana! 🙄wewe upo?
Wapi hapo Mkuu?1:56 baado mapema