Jabari XVI
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 1,225
- 1,678
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimelala na rafiki yangu kalewa chakar bia za bureee na hivi bonge ananyambaa tu nimeshindwa kulala hewa nzito
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimelala na rafiki yangu kalewa chakar bia za bureee na hivi bonge ananyambaa tu nimeshindwa kulala hewa nzito
Yan hapa ananigeuzia tako kama loteee yan[emoji848][emoji848][emoji848][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na hili joto sasa, leo lazima uugue unyafuzi [emoji23]Yan hapa ananigeuzia tako kama loteee yan[emoji848][emoji848][emoji848]
Msitiri mwenzio wewe !Nimelala na rafiki yangu kalewa chakar bia za bureee na hivi bonge ananyambaa tu nimeshindwa kulala hewa nzito
Kanywa s lite kala mishikaki ndizi choma mchemsho wa utumbo kafukia sjui mbuzi choma kalaa unazan kwa harufu ya mashuzi unyafuzi utanipita lazima kwanza tumbo liniume puttttuuuuNa hili joto sasa, leo lazima uugue unyafuzi [emoji23]
[emoji23] umefanya nicheke kwa sauti kuuKanywa s lite kala mishikaki ndizi choma mchemsho wa utumbo kafukia sjui mbuzi choma kalaa unazan kwa harufu ya mashuzi unyafuzi utanipita lazima kwanza tumbo liniume puttttuuuu
KivipiMsitiri mwenzio wewe !
Huoni kama umemdhalilisha kwetu sisi ? Tumejua umelala na rafiki yako tipwa tipwa na anajamba balaa.Kivipi
Uwiiii kaniwekea paja shingoni alafu kavua nguo zote yerewiiiii amegeuka kaaachia bonge la shuziiii khaaa putuuuu anaweza nyaaaa huyu loooh[emoji23] umefanya nicheke kwa sauti kuu
PoleKanywa s lite kala mishikaki ndizi choma mchemsho wa utumbo kafukia sjui mbuzi choma kalaa unazan kwa harufu ya mashuzi unyafuzi utanipita lazima kwanza tumbo liniume puttttuuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mfunge silencer sasa utapata kimetaUwiiii kaniwekea paja shingoni alafu kavua nguo zote yerewiiiii amegeuka kaaachia bonge la shuziiii khaaa putuuuu anaweza nyaaaa huyu loooh
AsanteeePole
Nitafute gunzi nimzibe akuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] mfunge silencer sasa utapata kimeta
Weka kisigino chakoNitafute gunzi nimzibe akuuuu
Hahahhahaha uhuuuuu kitaungua na indicator ya ushuziiiWeka kisigino chako
Ni bora kiungue kisigino kuliko kuungua mirija ya hewa [emoji23] [emoji23]Hahahhahaha uhuuuuu kitaungua na indicator ya ushuziii
Mhg akigeuka nakwambia huuu mtakoo kama ndege tausiNi bora kiungue kisigino kuliko kuungua mirija ya hewa [emoji23] [emoji23]
Msukumie sakafuni huko huko yuko vitu haelewi lolote hahaha...la sivyo utapata tabu sana mkuuMhg akigeuka nakwambia huuu mtakoo kama ndege tausi
Nimehamia seblen sitak tena kulalaMsukumie sakafuni huko huko yuko vitu haelewi lolote hahaha...la sivyo utapata tabu sana mkuu