Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,871
naam weekend mambo huwa mazuri sana
kabisa
naam weekend mambo huwa mazuri sana
Hahaha,unanitega wewe !Fanya unitumie Barua, wengine wasiisome.
acha ushambaNdio zile tunaziita za Kifua? au zile ni za Menthol
Kwema asee.. na venye vyuma vimekaza tunapambanasafi, mambo vipi chief!
Mhurumie.
ulinzi bila busara unaweza wakaku-pyu pyu mapema sanaUna busara sana bro !
acha ushamba
Hiyo inaitwa busara sasa.Nitamtendea haki yake na sio Huruma
nipe moja na mimi pleaseAcha nitafune moja hapa
Kabisa bro !ulinzi bila busara unaweza wakaku-pyu pyu mapema sana
tuendeleze lindokabisa
yap ndio hivyo itifaki lazima izingatiweKabisa bro !
nipe moja na mimi please
mmh!Fanya unitumie Barua, wengine wasiisome.
karibua mazizini supu muda woteView attachment 865696
Sina maana hiyo ya kukimbia ila ndo nakunywa supu ya gongolo sasa. Najiandaa na kamatia chinii.. sijui kaimba nani vile wimbo ule...
Bro mbona umeguna ?mmh!
ufafanuzi wa nini?Naomba ufafanuzi pls
Aika&NahreelView attachment 865696
Sina maana hiyo ya kukimbia ila ndo nakunywa supu ya gongolo sasa. Najiandaa na kamatia chinii.. sijui kaimba nani vile wimbo ule...
vyako vitamu sasaUsaniambia Mshamba, iweje wataka kula vyangu?