Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,871
Ndio zile tunaziita za Kifua? au zile ni za MentholNi fresh kama pipi ya mint
Ndio zile tunaziita za Kifua? au zile ni za MentholNi fresh kama pipi ya mint
Msitiri sasa usimwambie hadharani.Ananiwekea Doria
HaswaaNdio zile tunaziita za Kifua? au zile ni za Menthol
Pamoja sana bro !Ndio vzr ukiwa na walinzi nguli ,waliobebea
Haswaa
Msitiri sasa usimwambie hadharani.
Kaka mkubwa shikamoo ! Inaonekana ulikuwa unafatilia sana mazungumzo ya humu kwa muda mrefu sana.lindo la leo limechangamka sana
Kwanini? Mbona ananifanyia Hadharani
lindo la leo limechangamka sana
ha ha ha nipo muda ila nikitaka kuingiza neno naona nitaharibu nikawa nazurura majukwaa mengineKaka mkubwa shikamoo ! Inaonekana ulikuwa unafatilia sana mazungumzo ya humu kwa muda mrefu sana.
Kiwanja gani this weekend mamaa?weekend inajongea
Leo nilipania nikunje virago sababu jana nilichemka,sasa hapa pumzi karibia zina kata.Kwanini? Mbona ananifanyia Hadharani
naam weekend mambo huwa mazuri sanaweekend inajongea
Acha nimfikirieMkumbushe sasa,kisha umshike mkono mkayamalize chumbani.
Una busara sana bro !ha ha ha nipo muda ila nikitaka kuingiza neno naona nitaharibu nikawa nazurura majukwaa mengine
Leo nilipania nikunje virago sababu jana nilichemka,sasa hapa pumzi karibia zina kata.
Nataka nataka nikuachie ujumbe,umfikishie fulani...!
Mhurumie.Acha nimfikirie
safi, mambo vipi chief!Hahaha...niaje Mr. Miller