JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Usiache basi kuniletea japo kadi ya Mchango kama sio ya Mwaliko
Sisi huwa hatuna kadi wala kichangishana,sisi tunatangaza ndoa. Maadamu atakuwa nimempata humu jf basi nawajibika kuja kuwaletea mwaliko humu humu ila itakuwa ni kwa majina yetu halisi. Sasa hapo ndipo mtakapo anza kunyoysheana vidole.
 
Back
Top Bottom