Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,871
Wenyewe huwa wanaita "The Sweet Science".....
Unajua sio nimesahau amna naogopa kama kesiAcha kujifanya umesahau
Mbona mimi siuliziwi jamani? Zisi izi vere anifea [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]HB wa kigogo ushalala?
[emoji23] [emoji23] we si tupo wote apa jamnMbona mimi siuliziwi jamani? Zisi izi vere anifea [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kesi ndio sema aliyekupa ile ishu nani?! Na najua yupo humu ndani...ukisoma apa we mtu labda niskujueUnajua sio nimesahau amna naogopa kama kesi
Aisee kumbe ndio unamaana hiyoKesi ndio sema aliyekupa ile ishu nani?! Na najua yupo humu ndani...ukisoma apa we mtu labda niskujue
YesAisee kumbe ndio unamaana hiyo
Yupo wap kwenye huu uzi au jfKesi ndio sema aliyekupa ile ishu nani?! Na najua yupo humu ndani...ukisoma apa we mtu labda niskujue
JfYupo wap kwenye huu uzi au jf
Kwanza mim nilisha sahau kabisaa,
Hmm!! Unataka umjue wakati nilisha kuambia
Nimekuelewa Inna. Maana inauma sana. Mtu upo halafu wanauliziwa wasiokuwepo. Kha !!? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23] we si tupo wote apa jamn
Me ndo naanza sasa kulifanyia kazi mpk nimjueKwanza mim nilisha sahau kabisaa,
Ni mim mwenyewe tatizo huamini, ngoja ...Me ndo naanza sasa kulifanyia kazi mpk nimjue
Nakosea? Sijui protokali zenu huku japo hata picha huwa naziona ona. Kama huku picha huwa hamruhusu naomba nisamehewe [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️Naona uzi wa likes wa kutupia mapicha umehamishia huku
Humbled as usual...haukosei kwanza karibu sanaaa na tunashukuru kwa kuchangamsha genge vilivyoNakosea? Sijui protokali zenu huku japo hata picha huwa naziona ona. Kama huku picha huwa hamruhusu naomba nisamehewe [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
Hivi huo jamaa kwenye avartor yako ni kabila mwenyewe00:05