Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,933
- 3,406
Eeh hao majamaa nlikua ndo nlikua napenda kuchill nao kijijini chimbo, tunazurura tu hawasumbui sijui tuwahi kurudi, ila ndo hivyo kwenye mtihani wananitoa nduki nagonga zangu gentleman 50% yeye anakula 97% afu fresh tuu kiroho safiHahaha hao wajinga sana, mtu anasoma daftari zima, afu usiombe umuombe majibu kwenye paper wanakaza kichizi
Ila kuhusu ma genious nimesoma na dogo mmoja jamaa alikua hasomi prepo wala hatoboi.mchana kutwa anazurula tu dom. Ije paper sasa ana 90-100
Naota kabisaUnaota au unakuwa ndo uko JF [emoji23][emoji23][emoji23]
Wahenga walikua wanaangalia tu afu wanatunga misemo, wahenga bana...waoga kichizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo ndio utakubaliana na wahenga kuwa "Akili ni nywele kila mtu ana zae"
Wewe huna usingizi?Nenda kachape ondoa usingizi mwanawane,
Hata tone sina...Na hapa kushakuchaWewe huna usingizi?
Unaota JF, ukishika simu si utakuwa unaandika huku uko ndotoni, sasa hicho utakachoandika ndo ishu [emoji848][emoji848]Naota kabisa
Ndio mkuu, [emoji23][emoji23][emoji23]Naunga mkono hoja aki...[emoji30][emoji30][emoji30]
Hoja ipi kiongozi?Naunga mkono hoja aki...[emoji30][emoji30][emoji30]
Hahahaha mkuu umenikumbusha mbali. O level ukitoa ICT na englishEeh hao majamaa nlikua ndo nlikua napenda kuchill nao kijijini chimbo, tunazurura tu hawasumbui sijui tuwahi kurudi, ila ndo hivyo kwenye mtihani wananitoa nduki nagonga zangu gentleman 50% yeye anakula 97% afu fresh tuu kiroho safi
Nakukabidhi lindo uendelee nitarudi alfajiri kukupa kampaniHata tone sina...Na hapa kushakucha
Ndio mkuu kushakucha,Hata tone sina...Na hapa kushakucha
Usiku mnene chief...[emoji12] [emoji12]Hoja ipi kiongozi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi ndoto nini lakini?Unaota JF, ukishika simu si utakuwa unaandika huku uko ndotoni, sasa hicho utakachoandika ndo ishu [emoji848][emoji848]
Ndiomaana bado Naunga mkono hoja chief.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]We jamaa hiyo mikono unayounga imefikia kilometer ngapi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Tawile mwanawane...Ukija njoo na zawadi,Nakukabidhi lindo uendelee nitarudi alfajiri kukupa kampani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ICT na English ulikuwa unapata ngapi?Hahahaha mkuu umenikumbusha mbali. O level ukitoa ICT na english
Masomo mengine yote nilikua nafanya paper kufikisha 50 tu na kweli zilikua hazivuki[emoji23] afu tukawa tunapeana moyo sana na washkaji
Mkuu, huu ni usiku mnene....tehteehhMada nini nami nitafakarr kuunga mkonyo hoja...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimebaki mdomo waziUsiku mnene chief...[emoji12] [emoji12]
Ni ile hali ya kufanya jambo kabla ya wakati au sehemu isio sahihi.. ni sawa na kuona upo chooni kumbe una shusha mzigo kitandani [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi ndoto nini lakini?