Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,796
- 48,054
Njoo na wew nikupende. Acha u shilawaduKho! Kho! Kho! Naombeni maji jamani mwenzenu nimepaliwa
Njoo na wew nikupende. Acha u shilawaduKho! Kho! Kho! Naombeni maji jamani mwenzenu nimepaliwa
La mbeleGeti lipi kuwa specific[emoji12] yapo mengi
Eeeh! Kumekucha njoo uwahi sitiJamani kwani ndo kumeshakucha humu ee
Hayatoshi, nipe majimeza mate
Ndo nmefika hapa mapema kabiisaaEeeh! Kumekucha njoo uwahi siti
Litakuwa free kivipi?Only one day Jmosi hiyo na lindo litakuwa free..
Nakuja kuingiaLa mbele
Yeah karibuJamani kwani ndo kumeshakucha humu ee
Nikupe gahawa au maji?Ndo nmefika hapa mapema kabiisaa
Nadhani kahawa ile Kali kabisa itafaaNikupe gahawa au maji?
Nikupe gahawa tupu au nikupe na kashataNakuja kuingia
Nipo hapa tayariYeah karibu
Na kashata au tupu?Nadhani kahawa ile Kali kabisa itafaa
Nipe vyoteNikupe gahawa tupu au nikupe na kashata
Hivi hvi itakua chungu Fanya na kashata mkuuNa kashata au tupu?
Kupenda unakujua au unakusikia kwenye bomba tu?[emoji23]Njoo na wew nikupende. Acha u shilawadu
Maskini! Ana njaa huyo
Sawa mkuuHivi hvi itakua chungu Fanya na kashata mkuu