maliyamtu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 2,137
- 3,879
Naona unataka kupendwa apa usivunge mkuuSawa mkuu
Naona unataka kupendwa apa usivunge mkuuSawa mkuu
Njoo ujioneeKupenda unakujua au unakusikia kwenye bomba tu?[emoji23]
ndo ameamka usingiziniMaskini! Ana njaa huyo
Hana lolote, mapenzi atayajulia wapi mnyantuzu huyuNaona unataka kupendwa apa usivunge mkuu
Nione mara ngapi?Njoo ujionee
Mlete nimpe gahawa na kashata hapando ameamka usingizini
Hahahaha kumbe ni mnyantuzu wuuii hapo kimbia kabiisaaHana lolote, mapenzi atayajulia wapi mnyantuzu huyu
Hujawahi kuja bna[emoji16] kila siku visingizioNione mara ngapi?
Jirani yake joka la makengeza huyu, ndo maana nikamjibu kwa jeuri[emoji12]Hahahaha kumbe ni mnyantuzu wuuii hapo kimbia kabiisaa
Hahahaha kumbe anaundugu na jiwe kabisaJirani yake joka la makengeza huyu, ndo maana nikamjibu kwa jeuri[emoji12]
Mimi leo nimekua mnyantuzu !!! Mimi mcongo bana acha kunikosea utafanya nisikupendeHana lolote, mapenzi atayajulia wapi mnyantuzu huyu
Sana, we huoni anavyomteteaga kutwa kucha[emoji23]Hahahaha kumbe anaundugu na jiwe kabisa
Naona leo una mzuka wa kukesha[emoji4]Jirani yake joka la makengeza huyu, ndo maana nikamjibu kwa jeuri[emoji12]
Aah! Sasa wewe mkongo utaweza kunipenda wakati bila vumbi huna jeuri ya kiume?[emoji23] [emoji126]Mimi leo nimekua mnyantuzu !!! Mimi mcongo bana acha kunikosea utafanya nisikupende
Hahahaha kweli Leo nmeamini mtu anaweza kataliwa kwa na chembe za undugu nae jiweSana, we huoni anavyomteteaga kutwa kucha[emoji23]
Sina lolote dear, hapa nilipo niko kama teja...nina usingizi debe 5Naona leo una mzuka wa kukesha[emoji4]
Naweza sanaaaAah! Sasa wewe mkongo utaweza kunipenda wakati bila vumbi huna jeuri ya kiume?[emoji23] [emoji126]
Hakikisha unaweka vizuri silaha usije porwa na aduiSina lolote dear, hapa nilipo niko kama teja...nina usingizi debe 5
Huyo Thad muache afike miaka 30 atanitafuta tuHahahaha kweli Leo nmeamini mtu anaweza kataliwa kwa na chembe za undugu nae jiwe
Aiseee mjini pagumu,kupambana mpaka mida hii ikifika nimchoka nyang'a nyang'a