Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,796
- 48,044
Sisi wengine ambao hatutumii kilevi atupatie redbull tu inatosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀ladha ya bia za blue monday siku zote ni hatariii
[emoji23] [emoji23] pole sana mkuu ila umptkna.Tena hiyo ni safi kabisa kwa hii kazi ya ulinzi, mimi imebidi ninywe leo kwa sababu mkuu wa walinzi mtu chake kanihamishia sehemu yenye mbu.
Hahahaa hio ni moja faida ya pombe. Ila mkuu uzuri ni umfaham akiongea english wew utaongea kiswahili pia yeye atafaham.Nimeongea na bbade kasema atakuja kunipa kampani, sema anaongea sana kiingereza, nina uhakika mpaka anafika atakuta changu kimeshanyooka.
Kama unavyojua bia inasababisha uongee English safi.
Mara ya kwanza kulewa (nilikua naonja onja tu zamani) nilikua nime maliza form 4 si nikapiga whysky kilichofata. Nikaanza kuwaadithia home kuhusu demu wangu alivokua ana niumiza, wakanipeleka room kufika nikampigia nikamchana vibaya sana[emoji23]wakati nilikuaga namuogopaNimeongea na bbade kasema atakuja kunipa kampani, sema anaongea sana kiingereza, nina uhakika mpaka anafika atakuta changu kimeshanyooka.
Kama unavyojua bia inasababisha uongee English safi.
Mara ya kwanza kulewa (nilikua naonja onja tu zamani) nilikua nime maliza form 4 si nikapiga whysky kilichofata. Nikaanza kuwaadithia home kuhusu demu wangu alivokua ana niumiza, wakanipeleka room kufika nikampigia nikamchana vibaya sana[emoji23]wakati nilikuaga namuogopa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa hio ni moja faida ya pombe. Ila mkuu uzuri ni umfaham akiongea english wew utaongea kiswahili pia yeye atafaham.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo my,ni vile kazi kazi acha tuUmefichwa na nani my dear?[emoji848]
Hahahaha mkuuHatutaelewana, yaani hapa nimebakiza vocabulary chache sana za kuongea naye.
Ulipta ujasiri kutoka sehem isiojulikna[emoji23] [emoji23]Mara ya kwanza kulewa (nilikua naonja onja tu zamani) nilikua nime maliza form 4 si nikapiga whysky kilichofata. Nikaanza kuwaadithia home kuhusu demu wangu alivokua ana niumiza, wakanipeleka room kufika nikampigia nikamchana vibaya sana[emoji23]wakati nilikuaga namuogopa
Sent using Jamii Forums mobile app