Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
Akaniomba msamaha tu .asubuhi kuona text nilizomtumia na alivonambia maneno niliyosema .sikuamini kabisaHahaha, ikawaje baada ya kumchana?
dah! mi imenishinda aisee...nahisigi inanijaza tumbo gesiMimi nainywa kama kesho naenda job na sitaki kulewa....
Ila ni tamu kinoma.
hii sura mbona sio ngeni
.Akaniomba msamaha tu .asubuhi kuona text nilizomtumia na alivonambia maneno niliyosema .sikuamini kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
hii sura mbona sio ngeni