Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Tumefungua mapema ili baadae tupate wasaa wa kuhudumia ndoa😜😜😜Mbn mapema sana ?
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Me nimeuliza ili kama ni ME ndo nimkonekti Kwa msela ana geto ni mstaarabu sn yupo huko Arusha.Ni geto lakini na ni uhakika kuliko kuchoma gharamacarbamazepine naomba uje kumjibu tamuuuuu mimi nishachoka kujibu hili swali[emoji53][emoji53][emoji53]
Asante kwa ukarimu. Hakika wafaa kuwa miongoni mwa mabest wangu hapa jukwaani. Mimi ni KEMe nimeuliza ili kama ni ME ndo nimkonekti Kwa msela ana geto ni mstaarabu sn yupo huko Arusha.Ni geto lakini na ni uhakika kuliko kuchoma gharama
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzigua90 akipita hapa mnistue
E&K
😀😀ladha ya bia za blue monday siku zote ni hatariiiDuh bia za j3 tamu jamani au ni mimi tu na kiu yangu hii [emoji481][emoji481]
hii bia imenishindaga siku nyingi
hii bia imenishindaga siku nyingi