Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hapana chezea komando kipensi[emoji12]
Komando Kipensi alikuwa ni shida, anawazunguka kwa nyuma anaondoka na wa mwisho.
Noma sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hapana chezea komando kipensi[emoji12]
Hivi mitikasi maana yake nini?[emoji12]
I nini iko poa?[emoji12]Iko powa kabisa...
Vipi wewe.
I nini iko poa?[emoji12]
Hahaaa endelea kunisimulia hiyo movie nimeisahau [emoji12]Komando Kipensi alikuwa ni shida, anawazunguka kwa nyuma anaondoka na wa mwisho.
Noma sana.
Alaa kumbe![emoji848]Mishe, mihangaiko...
Hahaaa endelea kunisimulia hiyo movie nimeisahau [emoji12]
Aaah!Nimemjibu aliyeuliza mitikasi vipi?
Hahaaa endelea kunisimulia hiyo movie nimeisahau [emoji12]
Leo hawapo nin?[emoji23][emoji23][emoji23]Bora hawapo, mimi hao ndio wananifanya siku hizi sikeshi, maana nikija nakuta wanamwaga ngeli tu na mimi sielewi[emoji53][emoji53]
Sijalala Usingizi Nimeegesha Tu Mwili, Wala Usingizi Haunijii Sijui Ni Mpaka Saa Ngapi?Amka kumekucha!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mishemishe za kila sikuHivi mitikasi maana yake nini?[emoji12]
Hakuna ka kipande kengine unakokumbuka? Tupia tupiaNina zaidi ya miaka 20 sijaiona, ilikuwa ni ya kikomando.
Gahawa tupu au na kashata?[emoji39]
Ah ah ah ah ah [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu niaje, naona siku hizi umeacha tabia mbaya.
Hahaha dah ile movie ya ktambo sana yule jamaa alikuwa anaitwa dave,, jina la pili silikumbuk vzrSterling alikuwa na kikaptura cha jinzi ya blue mwanzo mpaka mwisho.