Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,837
Ziko kule Tumblr mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]
Asante sana
Dah! Nasikitika kwamba ipo siku haya yatanikumba[emoji134] [emoji134]
Hongera, unagadi bodi ya nani?Mimi leo nawasilimia tu, nimepata kazi ya ubodigadi kwa hiyo sitakuwa na ninyi.
Rudi kumeshachangamkaLeo kumepooza. Nawatakia usiku mwema [emoji188][emoji188][emoji188]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] Wewe utakuwa huna mke...usiniulize nimejuaje?Mlinzi muandamizi nipo km kawa
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Usihofu barua inachapwa sasa hivi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Magu kazingua, sasa ndo tamko gani lile!
[emoji23][emoji23][emoji23]Bora hawapo, mimi hao ndio wananifanya siku hizi sikeshi, maana nikija nakuta wanamwaga ngeli tu na mimi sielewi[emoji53][emoji53]
Walinzi tulikuwa chattle kusubiria barua baada ya tamko[emoji23]Leo hapa naona kunasuasua. Walinzi wote hoi [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha mpaka majirani wamaemka kuja kunichungulia!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo maana sipendi kudate na mashabiki wa team zenu hizo. Kitu arsenal hata akifungwa anajionea poa tu