Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,444
- 110,077
Kama ungeweza ungefungua uzi ukawa unatupia hayo mapicha picha iwe rahisi kuyapata....Sema mkuu.
Kama ungeweza ungefungua uzi ukawa unatupia hayo mapicha picha iwe rahisi kuyapata....Sema mkuu.
mtaheshimu viapo vyenuHivi ukiwa na mchumba kwenye huu Uzi anakuwa na ni wa usiku tu au hadi mchana kwenye threads zingine mnafatana?
Avatar yako tu...mmmh
Naona umeweka msisitizo mkuu,hahah.
Oya tengeneza nzurii kisha nitupie wasap
Acha kunivua nguo sijatengeneza mimOya tengeneza nzurii kisha nitupie wasap
Nani katengeneza..
Nimeupitia uzi wake