Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,796
- 48,044
YAAANI NAKASIRILA.HAPA WAMAMA WANALALA KAMA.VILE HAWANA VYA KUFIKIRINamsikilizia wife anakoroma tu hapa pembeni yangu...mie tangu saa tatu usiku tumbo linanipigisha marktime kadhaa za maliwatoni...mpaka dakika hii nshagonga safari za toileti kama 4 hivi
Wewe haaa nani kalala nimeshamtingisha wife.mara nne anakotoma.tu
kuna mzungu wanne ila hao wadada hapo wamelala mzungu wa nane dadeq
ongea na.mungu ndo muda wenyeweMi naona mauzauza tu hapa ndani siwezi toka na nje hakuendeki.
ako.msibani au ndo wale waookozi wa ndoa zetukuna mzungu wanne ila hao wadada hapo wamelala mzungu wa nane dadeq
msibani wapi mkuu... hayo ndiyo maisha ya maslay queen 😂😂w
ako.msibani au ndo wale waookozi wa ndoa zetu
Hiyo comment mkuu umeipata wapi mbona imefutwa. Nilitaka tu kujiridhisha [emoji16][emoji16][emoji16]