Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,836
Haya Good night
Haya Good night
Mkuu nakuhakikishia huyo haendi kuilia mdomoni hiyo[emoji16]Tusisahau kula veggies/fruits wakuu...
[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
View attachment 849771
Aah wapi, angekuwepo hapo saiz angekuwa anatupia tu
Huoni jiko hilo pembeni mkuu. Tena anapika?
Watu wengine wabinafsi sana
Ubunifu level 100%
Duh [emoji16][emoji16][emoji16]
Wanaume kwenye kutafuta chapaa
Hahaha jiko hilo la kazi zingineHuoni jiko hilo pembeni mkuu. Tena anapika?
Asante rafiki !Nimeipendaaaa
Sema mkuu.Hahaa shimba banaa
Karibu!Asante rafiki !