Amu.. Hilo jukwaA unalipataje ati...Elli ahsante,jukwaa la wakubwa sahizi si salama
Mbona kimya
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Itakuwa kwa shule za msingi.....
Maana sijasoma ujue...nilikimbia umande
Migebuka[emoji12] [emoji12] [emoji12]Mbu wang'ata balaa dah!! Kazi nyingine hizi
Mi naisi ni zaid ya uliyo itajaAsilimia mia moja nawe wajua hilo
Naaaam maneno mazito haya Shekheee....Kumbuka mara ya kwanza kukutana nawe nilikuahidi kukupenda, kukuheshimu na kukusikiliza. sasa nakufanya uwe mama yangu wa pili
Mim nakazia katika swala la ndoa msinikose jaman...[emoji12] [emoji12]Kabisa naona unatimiza uliyoniahidi.... Nashukuru kwa upendo huko nitakuheshimu siku zote,
Mitaa yangu ya kujidai iyoManzese kwa mfuga mbwa
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Juz nimekuona maeneo hayo umevaa dela kubwaaaaaaah[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Ndio...wewe Kwa Mfuga Mbwa unakusikia tu....sisi wenyeji tuachie mitaa yetu
Alafu ww mzee unautan wa ngum wwNilijua tu,halafu muda huu wa second half kuelekea alfajiri ( cha asubuhi ) ...utani tu
Haya binti bbade ulale unono, msalimie Big Baby ,kesho nakuja kula umbwa
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Kwani uongo?
Wew umejuaje hayo....Kwani uongo?
[emoji767]101-03-821.M|T|C