Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,871
Nimekupataaaa
Nimekupataaaa
Nipe Topic moja....Kwenye sayansi kimu tulikua tunafundishwa mambo mengi hadi mengine walikua wanatia fora, hadi wanapitiliza vituo
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua Baiolojia, Kemia, na Fizikia zote zilikua zinaitwa kwa pamoja sayansi kimuNipe Topic moja....
Itakuwa kwa shule za msingi.....Unajua Baiolojia, Kemia, na Fizikia zote zilikua zinaitwa kwa pamoja sayansi kimu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngumu kuamini, maana shule ya msingi ni kama NduiItakuwa kwa shule za msingi.....
Maana sijasoma ujue...nilikimbia umande
Eti ndui.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngumu kuamini, maana shule ya msingi ni kama Ndui
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa huwa hazibadiliki, ni maono yako tu mkuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] avatar za jf usiku wa ma8...zmekaaa kishujaaaaa
Sent from my HUAWEI TAG-AL00 using JamiiForums mobile app
Utakuwa hujazingatia, ni kama vile kumshangaa tausi akichanua mkia wakesure mkuuuu...japo cjaingia nights kitambo lakn avatar mzeee za kibabee sana
Sent from my HUAWEI TAG-AL00 using JamiiForums mobile app
ahaaa naona had majib misamiat ya kibabe[emoji1]Utakuwa hujazingatia, ni kama vile kumshangaa tausi akichanua mkia wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoooo you are here [emoji23][emoji23][emoji23]Mbu wang'ata balaa dah!! Kazi nyingine hizi
MpenziMbu wang'ata balaa dah!! Kazi nyingine hizi
C'mon mkuu common sense hii inasongaahaaa naona had majib misamiat ya kibabe[emoji1]
Sent from my HUAWEI TAG-AL00 using JamiiForums mobile app
Na akaamka kutoka usingizi mkaaali sana [emoji23][emoji23][emoji23]Mpenzi
Yes I'm here tufanye kikao cha dharula mbu wamezidi