Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,933
- 3,406
Hadi unajiona GoogleUpendo huu sijawahi pewa na mtu yoyote kabla
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi unajiona GoogleUpendo huu sijawahi pewa na mtu yoyote kabla
Hahaha haya bwana
We acha tu
Kumbuka mara ya kwanza kukutana nawe nilikuahidi kukupenda, kukuheshimu na kukusikiliza. sasa nakufanya uwe mama yangu wa piliUpendo huu sijawahi pewa na mtu yoyote kabla
Kabisa naona unatimiza uliyoniahidi.... Nashukuru kwa upendo huko nitakuheshimu siku zote,Kumbuka mara ya kwanza kukutana nawe nilikuahidi kukupenda, kukuheshimu na kukusikiliza. sasa nakufanya uwe mama yangu wa pili
Malengo yangu siku moja uwe unatabasamu ndani ya vazi jeupe mwisho tuzeeke pamoja tuwasimulie watu historia ya mapendo yetuKabisa naona unatimiza uliyoniahidi.... Nashukuru kwa upendo huko nitakuheshimu siku zote,
Kiongoz hulali?01:15
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Mm nitakua baba ako wa PiliKumbuka mara ya kwanza kukutana nawe nilikuahidi kukupenda, kukuheshimu na kukusikiliza. sasa nakufanya uwe mama yangu wa pili
Akina kingunge au?Malengo yangu siku moja uwe unatabasamu ndani ya vazi jeupe mwisho tuzeeke pamoja tuwasimulie watu historia ya mapendo yetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm nitakua baba ako wa Pili
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Acha zako. Hiyo ni nafasi ya mwanamke tu hakuna baba wa piliMm nitakuan baba ako wa Pili
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Uchawi kumbe upooooo
Dah haya,ngoja nirudi chakaAcha zako. Hiyo ni nafasi ya mwanamke tu hakuna baba wa pili
Hamna mkuu Uchawi ni kama kusema kupatwa kwa jua ni mashetani wameziba mwanga wa jua, badala ya mzunguko wa dunia na mwezi na jua kwenye orbitUchawi kumbe upooooo
Mkuu unarudi kujifichaDah haya,ngoja nirudi chaka
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Kila muda we unapendwa !!!!Kabisa naona unatimiza uliyoniahidi.... Nashukuru kwa upendo huko nitakuheshimu siku zote,