tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,757
- 31,120
Duh[emoji15] ,kisa mkasa Mkuu nn,ahsante nafanyia kazi suala lakoWew umejuaje hayo....
Kuwa makin wale jamaa wa kabila wasije maeneo ulipo wakat unachat angalia na usalama wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale jamaa huwa hawana masiala kabisa yan...Duh[emoji15] ,kisa mkasa Mkuu nn,ahsante nafanyia kazi suala lako
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Labda aje mshikaj wangu Davinc ndio anipe tafsir ya hili neno ndio naweza kuelewa
Asee,umeanza kunitisha MkuuWale jamaa huwa hawana masiala kabisa yan...
Alafu huwa nakujaga huko...
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni mji mkuu wa Cambodia mkuuLabda aje mshikaj wangu Davinc ndio anipe tafsir ya hili neno ndio naweza kuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo nimekuelewa ndugu yangu....
Mapambano tu mkuu,Ila narudi soon.Ni ka nchi Ka kawaida sn.Ila ni full udikteza zaidi ya huko Kwa mjomba.Hapo nimekuelewa ndugu yangu....
Daaaah huko ni mambo vulu vulu tuuuu..
Mishe gan huko wafanya jombaaaaah
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapambano tu mkuu,Ila narudi soon.Ni ka nchi Ka kawaida sn.Ila ni full udikteza zaidi ya huko Kwa mjomba.Hapo nimekuelewa ndugu yangu....
Daaaah huko ni mambo vulu vulu tuuuu..
Mishe gan huko wafanya jombaaaaah
Sent using Jamii Forums mobile app
Imefanyeje?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Leo ni Jf mchana wa manane
Sent from my TECNO H6 using Tapatalk
sema mukuuLinajifunga automatically, sema kuna watu wanabaki mlangoni