maliyamtu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 2,137
- 3,879
🙁 🙁Itakuwa inaelekea mwisho wa mwezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
🙁 🙁Itakuwa inaelekea mwisho wa mwezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
@Astelia yuko around ila anajificha km sniperAstelia ndio anaruhusiwa kumiss Da'Vinci. Umefanya vizuri
Usalama wako unatosha lakini?[emoji2]
Ndio nataka kujifunza, linaonekana ni neno zuri .
Wooooiiiiiiiii[emoji23] [emoji23]Itakuwa inaelekea mwisho wa mwezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
HuhuuuOohhh
Tunamatani siku hizi eehhh...
Tehteehh.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Tunamatani siku hizi eehhh...
Siku nikiona Pm yako nahisi nitaikodolea macho siku nzima.
Mi mwenyewe nashangaa, sasa ngoja nilifanyie kaziNdio nataka kujifunza, linaonekana ni neno zuri .
Naona leo hajisikii kuchangia
Tupo na lindo la Leo linakwenda na EFM nikiwatilia ubani ndugu zetu Wazaramo..
Unipitie wakati unaenda kulifanyia Kazi, tusaidiane.
Ila unajiskia kucomment [emoji848][emoji848][emoji848]Naona leo hajisikii kuchangia
Yaaaaaa najisikia
Nachukua na mkebe pia, kuna rula, pembe tatu na bikari ili tukafanyie kazi vizuriUnipitie wakati unaenda kulifanyia Kazi, tusaidiane.
Niambie jamaa yanguMalcom Lumumba upo veteran wa Ww2
Umepotea sana kiongoziNiambie jamaa yangu