Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,871
Naleta kalamu ya wino, kalamu ya risasi na kifutio.Nachukua na mkebe pia, kuna rula, pembe tatu na bikari ili tukafanyie kazi vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Naleta kalamu ya wino, kalamu ya risasi na kifutio.Nachukua na mkebe pia, kuna rula, pembe tatu na bikari ili tukafanyie kazi vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usisahau na ubuyu, visheti, na vibisibisiNaleta kalamu ya wino, kalamu ya risasi na kifutio.
Nipo tu kamandaUmepotea sana kiongozi
Kwani tunaenda picnic au? Mbona Kama ni ki date hiki....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usisahau na ubuyu, visheti, na vibisibisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Lete maneno..Nipo tu kamanda
Si tunafanyia kazi hili suala, bila virutubisho km hivi tunafanikishaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani tunaenda picnic au? Mbona Kama ni ki date hiki....
Kama yote!!!!!!
Mimi ubuyu utaninogea nisahau kila kituSi tunafanyia kazi hili suala, bila virutubisho km hivi tunafanikishaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaona eeh mkuu, la kawaida ila lina maajabu sanaKama yote!!!!!!
Lina ukakasi hili neno
Utaanza kumumunya ubuyu usahau protokali na itifaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi ubuyu utaninogea nisahau kila kitu
Ndio ukweli wenyewe...Utaanza kumumunya ubuyu usahau protokali na itifaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Maajabu gani?
Inaonekana kwenye somo la sayansi kimu ulikuwa unawaza kiundani zaidi...teh tehe [emoji23][emoji23][emoji23]Ndio ukweli wenyewe...
Nikiiangalia tu napotea kwenye movie, Think Like a ManMaajabu gani?
Sayansi kimu? Nikumbushe....Inaonekana kwenye somo la sayansi kimu ulikuwa unawaza kiundani zaidi...teh tehe [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooohhh Yessss
Sayansi kimu, Sayansi ya Jamii, Social Science kwa kibepari,Sayansi kimu? Nikumbushe....