Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Ni jina langu
Badeleya?
Ni jina langu
Mmh [emoji16] unanidanganya mpaka mimi ? Hakuna jina ka hilo bongoNi jina langu
Ndio mkuuYaaani saaa 08:08:08?
Sent from my ONE TOUCH 4033D using Tapatalk
Foreman anasema atataka kuongea na wewe ili kujua matatizo yanayotukumba kwenye kazi zetu, hataki niwepo, anasema mimi ataniuliza kesho.
Nimechungulia kumbe ni matone ya mvua...
Uoga unaweza ukaondoka na roho ya mru
[emoji252] [emoji479]
Mshana Jr huyo kashafanya kweli wewe unaona mastoneNimechungulia kumbe ni matone ya mvua...
Uoga unaweza ukaondoka na roho ya mru
[emoji252] [emoji479]
Foreman ndio nani? Na nina wasiliana naye wapi?...mnanipa ,majukumu mazito...nita waangusha.
Kwel kabisaUtakuwa unakaa siyo mbali na niliko, kuna matone pia yamepita hapa.
Nawasalimia tu leo sipo lindo
Mmh [emoji16] unanidanganya mpaka mimi ? Hakuna jina ka hilo bongo
Majina yetu ni , chausiku,juma ,hawa,sikujua and the likes
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwema kabisaKwema!?
[emoji252] [emoji479]
Nawasalimia tu leo sipo lindo
Wacha woga na wewe,NakujaNajikaza nisisinzie
[emoji252] [emoji479]
Salam zimefikaNawasalimia tu leo sipo lindo
Kwel kabisa
[emoji252] [emoji479]