spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,158
Last man standing
Umerudi eeeh! Hakika tulikumiss kijiweniLast man standing
Unaogopa nini sasaJamani njooni, mwenzenu naogopa kupatwa kwa mwezi...... Hakika leo usiku wa manane umeingiliwa[emoji53]
Naogopa na mimi nisije nikapatwa bure[emoji6]Unaogopa nini sasa
Usiogope, huwezi kupatwa Mara mbili.Naogopa na mimi nisije nikapatwa bure[emoji6]
Long time no see broLast man standing
Salama kabisa, Inna hajambo?Salama humu!! Jaman
Unamaanisha kupatwa kama huku kwa mwezi au?Jamani binti ambaye hajapatwa huko tuwasiliane tupatwe wote.
Kweli tuulinde huu usiku wa manane, vinginevyo tutaupoteza[emoji12]Leo tunapatwa na mwezi....
Njoo ndani nimeshawasha motoDaaah Giza totoro aisee
Kweli eeeh! Ila usiniache naogopa hili gizaUsiogope, huwezi kupatwa Mara mbili.
Mkuu kupatwa tu.Si unajua tena mnajikuta mmepatwa woteUnamaanisha kupatwa kama huku kwa mwezi au?
Basi njoo tukutane njiani maana hata mimi bado sijapatwa[emoji12]Mkuu kupatwa tu.Si unajua tena mnajikuta mmepatwa wote
Mbaya zaidi alivyopotea tu, na Maserati naye akapotea.....[emoji12]Long time no see bro
Holla
Mkuu nimesema nataka KE.Basi njoo tukutane njiani maana hata mimi bado sijapatwa[emoji12]