shin gun wook
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 995
- 1,515
safi walinzi tukiwa wengi inapendeza unapata kampani,tafuta kahawa basi tuiweke mtu kati hahanami nipo lindoni leo usingiz umeruka kbs
safi walinzi tukiwa wengi inapendeza unapata kampani,tafuta kahawa basi tuiweke mtu kati hahanami nipo lindoni leo usingiz umeruka kbs
Muda bado ,au mnafunga kwa SAA za kwenu huko?Nafungua geti rasmi. [emoji356][emoji356][emoji356][emoji356][emoji356][emoji356][emoji356][emoji356][emoji356][emoji356] karibuni
Mzee uko Sudan nini,naona tumasaa tumepishana lisaa limoja02:27
Yes yesMzee uko Sudan nini,naona tumasaa tumepishana lisaa limoja
ata mwisho wa dunia ukifika sisi mbinguni tutafika kabla yenu hahaha,just a jokeYes yes
[emoji16] [emoji16] [emoji16]ata mwisho wa dunia ukifika sisi mbinguni tutafika kabla yenu hahaha,just a joke
Duh,umetisha ,na kifo pia mtawahi kabla yetu ( just a joke)ata mwisho wa dunia ukifika sisi mbinguni tutafika kabla yenu hahaha,just a joke
Yea niliwahi kulaladuh,uliwahi kulala nini
Hy avatar mmmh ,acha nilinde Uzi usiibiwe ,tukapoteza binti km wewe[emoji16] [emoji16] [emoji16]
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Duh,umetisha ,na kifo pia mtawahi kabla yetu ( just a joke)
tutawahi kuwaandalia makazi haha[emoji16] [emoji16] [emoji16]
HahaHy avatar mmmh ,acha nilinde Uzi usiibiwe ,tukapoteza binti km wewe
na pia mabinti wote Wazuri tutawawahi sisi,mtaambulia madunga embe,(just a joke)Duh,umetisha ,na kifo pia mtawahi kabla yetu ( just a joke)
Wakiiba Uzi na wewe ukiibiwa ni uzembe huuHaha
Sawa mlinzi
Haha..ila bora niamie Sudan sitaki kabisa kua muandaaji makazitutawahi kuwaandalia makazi haha
Tena wa kiwango cha juuWakiiba Uzi na wewe ukiibiwa ni uzembe huu
[emoji134] [emoji134] dah kweli halafu asee,kwa hili itabidi nirudi hm ( just a joke)na pia mabinti wote Wazuri tutawawahi sisi,mtaambulia madunga embe,(just a joke)
hahha ukichelewa utakuta vizuri vyote vimechululiwa,yani kama ni mwanaume wa ndoto zako unamkuta tayari kachukuliwa,utajikuta mnabaki kuangaliana tu na Mtu chake ata kama haumpendi ndo vile hakuna namna unapewa uyo uyoHaha..ila bora niamie Sudan sitaki kabisa kua muandaaji makazi
Binafsi sikubali ndio maana nipo kuhakikisha Uzi uko salama ,hy avatar tu inaongeza morale ya kulinda UziTena wa kiwango cha juu
Karibu mamii ,Karibu sana,nakupokea kwa mikono miwili[emoji120] [emoji120] [emoji120] , toa uchovu kwanza na [emoji484] au na [emoji485] ama [emoji483] ,chaguo ni lakoHaha..ila bora niamie Sudan sitaki kabisa kua muandaaji makazi