Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Ngoja nikajichungulie nione kama mimi ni KE au MEMkuu nimesema nataka KE.
Ngoja nikajichungulie nione kama mimi ni KE au MEMkuu nimesema nataka KE.
Hahahahaaaa mkuu vip tena!!hujijuii?Ngoja nikajichungulie nione kama mimi ni KE au ME
Sijijui kwa kweli maana mimi nijiona KE ila wanaonizunguka wote wananiona kama ME[emoji53] Wacha nijichunguze upyaHahahahaaaa mkuu vip tena!!hujijuii?
Wakikujibu unitag ili nifumbue macho, maana tangu nilivyosikia kuwa mwezi umepatana na giza, nimefumba zangu macho[emoji12]Hebu tuleweni,haya mambo ya mwezi cjui umefanya nn yashapita
Its water under the bridge, count on me.Kweli eeeh! Ila usiniache naogopa hili giza
Hahahahaaaaaaa hata mie siku zote nilijua ww ni ME,kumbe ni KE!!!Jamani kumbe tunaweza kupatwa tu[emoji12] [emoji12]Sijijui kwa kweli maana mimi nijiona KE ila wanaonizunguka wote wananiona kama ME[emoji53] Wacha nijichunguze upya
Nitakujibu kesho nikitoka kwa dr.kuchunguzwa kama kweli mimi ni KE au MEHahahahaaaaaaa hata mie siku zote nilijua ww ni ME,kumbe ni KE!!!Jamani kumbe tunaweza kupatwa tu[emoji12] [emoji12]
Nitachunguza mwenyewe.Tena me Dr mchangaNitakujibu kesho nikitoka kwa dr.kuchunguzwa kama kweli mimi ni KE au ME
Inna sijui kapotelea wapiSalama kabisa, Inna hajambo?
Walipotea wote labda walikua fungate[emoji14]Mbaya zaidi alivyopotea tu, na Maserati naye akapotea.....[emoji12]
mzima za masikuTupo, mzima wewe.
babeeInna sijui kapotelea wapi
nipo apa kipenzi..mzima wwSalama kabisa, Inna hajambo?
Rabekha[emoji20]babee
upo kumbee?Rabekha[emoji20]