JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

hahha ukichelewa utakuta vizuri vyote vimechululiwa,yani kama ni mwanaume wa ndoto zako unamkuta tayari kachukuliwa,utajikuta mnabaki kuangaliana tu na Mtu chake ata kama haumpendi ndo vile hakuna namna unapewa uyo uyo
Mkuu si ndio vzr tunakutana huko nami namkaribisha tukiwa huko vzr tu ,Hahaha usiniwekee kauzibe ( just a joke)
 
hahha ukichelewa utakuta vizuri vyote vimechululiwa,yani kama ni mwanaume wa ndoto zako unamkuta tayari kachukuliwa,utajikuta mnabaki kuangaliana tu na Mtu chake ata kama haumpendi ndo vile hakuna namna unapewa uyo uyo
[emoji16] [emoji16] hadi nimekubali kwenda sudan basi ujue mtu chake ndie wa ndoto yangu
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom