Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Misukule inanisumbua
Hiyo misukule ya kiume au ya kike?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Misukule inanisumbua
Leo nimechelewa hukuMisukule inanisumbua
Nilikwambia mshana atakuuaKichwa kinaumaaa
PoleKichwa kinaumaaa
Wachovu wengiHuku watu wana koroma mida hii
nimekumiss ujueNini tena malkia wa JF, muke ya muganga ,ukunywe dawa
Duh ,misukule tena,hii maombi au umekiuka masharti ya mumeo Mshana jrMisukule inanisumbua
Tumebaki mimi nawewe tuTupigeni tu story
Hahaha, mamboTumebaki mimi nawewe tu
poa we cheka tu tena naweza kukuvuta pm usirudi tena hapa,Hahaha, mambo
Hahaha, napenda kufurahi tu ,pm tena?Hahahapoa we cheka tu tena naweza kukuvuta pm usirudi tena hapa,
hapa naondoka kuna jini hapo juu amecoment,asinfukuzie roho mtakatifu bado yuko aroundHahaha, napenda kufurahi tu ,pm tena?Hahaha
[emoji15] jini? Nani huyo?,MTU wa Mungu unaamini hayo ,mambo? Ukiondoka nabaki mwenyewe? Dah haya banahapa naondoka kuna jini hapo juu amecoment,asinfukuzie roho mtakatifu bado yuko around